Kamusi ya Ufahamu
Anderson Hung 2003 All rights reversed.

Namna ya Kutumia
Kwa kufananisha namba ya neno kutoka kwenye faharasa na namba ya kwanza katika kifungu cha maneno yaliyomo, neno la upande wa pili italeta maana ya neno kutoka kwenye faharasa. Habari yote inayokosekana itajijaza yenyewe.

Uainishaji wa Majina
Inakuruhusu wewe pia kuchagua vifungu 213 vya maneno kwa kuangalia kwenye maneno yaliyomo katika kamusi. Kila kundi la majina linawakilishwa na nambari fulani. Hata hivyo, namba ni lugha ya ulimwengu.

Jinsi Inavyotenda Kazi
Kulingana na uchunguzi wa kimatibabu, inaaminika kuwa faharasa ya maneno imehifadhiwa katika upande wa kushoto wa ubongo, ilhali yaliyomo katika maneno (hasa na kwa kawaida picha) huwa kwenye upande wa kulia wa ubongo. Ubongo wa kushoto huwasiliana na ule wa kulia kwa kutumia nambari na wala sio kwa neno.

<<  |  Yaliyomo Kiswahili > Kiingereza  |  Faharasa Kiswahili > Kiingereza  |  English > Swahili Index

Kuhusu hii Kamusi
Maneno yote katika kamusi hii vimepangwa kwa mpangilio wa maneno ya Kichina kuleta maana ya maneno na kupangwa upya kufuatana na utaratibu wa Uumbaji wa Mungu. Kamusi hii inaweza ikatumiwa kama mashine ya ufahamu.

Vifupisho / Abbreviations
adj. kivumishi / adjective
aux. v. kitenzi kisaidizi / auxiliary verb
f. hike / female
K Kenya
obj. kifaa / object
pl. wingi / plural
T Tanzania
v. kitenzi / verb

Tabaka za Nomino
(ji)-ma tabaka la vitu vikubwa
ki-vi tabaka la vitu vidogo
m-mi tabaka la ufu
m-wa tabaka la uhai
n- tabaka la vitu anuwai
u-(n) tabaka la vitu dhahania

Noun Classes
(ji)-ma class for big objects
ki-vi class for small objects
m-mi class for inanimates
m-wa class for animates
n- class for miscellaneous objects
u-(n) class for abstracts

Acknowledgments
I would like to thank Bwana Ahmed Kermalli and other for translating this presentation to Swahili.

The Swahili Alphabet
a b ch d e f g h i j k l m n o p r s t u v w
x y z